.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Mei 2014

BALOZI KAMALA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI TANZANIA


Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ubelgiji Tanzania Mhe. Adam Koeler baada ya kumaliza kikao kuandaa ziara ya wadau wa miundombinu ya sekta za bandari, reli na kilimo itakayofanyika Ubelgiji kuanzia tarehe 19 - 23 Mei, 2014. 

Kikao kimefanyika leo Dar es salaam nyumbani kwa Balozi wa Ubelgiji Tanzania.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni