.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Mei 2014

REAL VALLADOLID YATIBUA NDOTO ZA REAL MADRID ZA KUTWAA KOMBE LA LIGI KUU YA HISPANIA

Ndoto za Real Madrid za kutwaa kombe la Ligi Kuu ya Hispania zinaonekana kuwa zimeisha baada ya Real Valladolid kusawazisha goli dakika za mwisho katika mchezo ulioishia kwa sare ya bao 1-1.

Beki Sergio Ramos aliipatia Madrid bao la kuongoza kwa mpira wa adhabu wa umbali wa yadi 25 na mpira kutinga golini kwenye wavu wa juu.


Hata hivyo ikicheza bila Gareth Bale na Cristiano Ronaldo, ambaye alitolewa nje baada ya kupata jeraha, Real Madrid ilionekana kukosa makali yake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni