Shangazi wa Rais wa Marekani, Barack Obama, Zeituni Onyango amezikwa leo asubuhi katika makaburi ya Waislamu yaliyopo Kisumu, Kenya.
Onyango amezikwa ikiwa ni masaa matatu tangu mwili wake uwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kisumu ukitokea Marekani alikofia.
Sheikh Musa Ismail katika maziko hayo alisema, wameupumzisha kaburini mwili wa Zeituni Onyango kama taratibu za dini hiyo zinavyosema.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni