
Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza mai 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Mai 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa akiapa Buneni mjini Dodoma Mai 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni