.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

MGOMBEA URAIS NCHINI MISRI AL-SISI AAPA KUWAPOTEZA MUSLIM BROTHERHOOD


Mgombea wa urais wa Misri anayetarajiwa kushinda Abdul Fattah al-Sisi ameapa kuwa atahakikisha kundi la Muslim Brotherhood lililopigwa marufuku haliwepo tena iwapo atashinda urais.

Akiongea kwenye mahojiano ya televisheni al Sisi ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi wa Misri, amesema majaribio mawili ya kutaka kumuua yalibainika.

Julai mwaka jana Bw. al-Sisi alimuondoa madarakani rais wa kwanza wa Misri kuchaguliwa kidemokrasia Mohammed Morsi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni