.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Mei 2014

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA NDEGE YENYE VYUMBA VITATU VYA KIFAHARI

Shirika la Ndege la Etihad limetambulisha ndege yake iliyosawa na hoteli ya nyota tano, ikiwa na vyumba vitatu vya kifahari, bafu na chumba cha kulala.

Vyumba hivyo vinafanya mabadiliko katika ndege ya Airbus A380 na Boeing B787 Dreamliner kuwa usafiri wa anga wa kifahari na matanuzi.

Wakati abiria wengine wakihaha kuomba waongezewe nafasi za kunyoosha miguu, wakazi wa vyumba vya ndege hiyo mpya ya Etihad watakuwa wanatanua kama vile hawamo kwenye ndege kwa gharama ya paundi 12,500.
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni