.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Mei 2014

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA KILELE CHA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wakunga na wananchi waliohudhuria sherehe za kilele cha siku ya wakunga duniani iliyofanyika kitaifa hapa nchini kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 5.5.2014.


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea maandamano ya wakunga wakati wa kilele cha siku ya wakunga duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 5.5.2015.

                                                  Maandamano yakipita mbele ya mgeni rasmi

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwa yakitoa huduma ya afya ya mama na mtoto wakati wa kilele cha cha sherehe za siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dar es Salaam tarehe 5.5.2014.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni