Seneta wa jimbo la Makueni nchini Kenya, Mutula Kilonzo Junior amejikuta akionja machungu ya wezi, baada ya kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo jijini Nairobi.
Wezi hao ambao idadi yao bado haijafahamika, waliingia nyumbani kwa Seneta huyo mtaa wa Kileleshwa na kuiba vitu kadhaa zikiwemo fedha taslimu. Wakati wa tukio hilo Seneta huyo hakuwepo nyumbani kwake.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni