.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

TGNP YACHAMBUA BAJETI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI


Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari leo.


Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii.


Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao.

Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni