Jumapili, 11 Mei 2014
NAONEKANA VIPI KWENYE VAZI JEUPE
Mwanadada anayetamba katika luninga na kipindi cha Keeping Up With The Kardashian's, Kim Kardashian akiwa amevaa vazi jeupe wakati akitoka kuangalia muonekano wa gauni lake la harusi hapo jana. Kim na mwanamuziki Kanye West wanatarajia kufunga ndoa jumamosi ya May 24'2014 jijini Paris nchini Ufaransa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni