.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

KENYA NA CHINA WASAINI MIKATABA 17 MIRADI YA MAENDELEO

Waziri Mkuu wa China, Li Keqiang akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta  ( kushoto ) na Makamu wa Rais, William Ruto ( nyuma ) wakati alipopata wasaa wa kutembelea mbuga ya wanyama ya Nairobi kujionea wanyama wa aina mbalimbali. 

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na mgeni wake Waziri Mkuu wa Cina, Li Keqiang, jana walisaini mikataba 17 ya miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya mabilioni ya shilingi, mikataba ambayo itasaidia kuinua uchumi wa Kenya kwa kiwango kikubwa. 

Mapema Waziri Mkuu huyo alikagua gwaride la heshima aliloandaliwa katika viwanja vya Ikulu jijini Nairobi, na kupigiwa mizinga 21

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni