Mreno Hellena Costa atakuwa ni miongoni
mwa makocha wa kike wenye historia kubwa Ulaya baada ya kutajwa kuwa
kocha mkuu wa timu ya wanaume Clermont ya Ufaransa.
Costa aliwahi kufundisha timu ya ligi
kuu ya Scotland Celtic, ameshawahi pia kuwa kocha wa timu ya wanawake
ya Iran tangu mwaka 2012.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 36 pia
amewa kuwa kocha wa timu ya wanaume ya vijana ya Benefica na timu ya
wanawake ya Qatar.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni