Viwanda kadhaa vimechomwa moto kufuatia
maandamano yanayoipinga China katika eneo la viwanda la Kusini mwa
Vietnam, na kuibua hali ya hofu Kusini mwa bahari ya China.
Uongozi wa eneo hilo la viwanda umesema
viwanda vitatu vinavyomilikiwa na kuongozwa na wa China vimechomwa
moto siku ya Jumanne, licha ya kutokuwepo na watu waliodhurika.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni