Mlipuko mkubwa umetokea katika mji wa Kaskazini mwa Syria wa Aleppo na kuharibu kabisa hotel na majengo mengine ya kale yaliyokuwa jirani na hotel hiyo ya Carlton Citadel Hotel .
Inasadikiwa kuwa, mlipuko huo ulisababishwa na bomu lililowekwa kwenye handaki chini ya hoteli hiyo na baadaye kulipuliwa na waasi.
Moshi mkubwa ukionekana angani baada ya kutokea kwa mlipuko huo.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni