.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Mei 2014

WACHEZAJI MANCHESTER CITY WAJUMUIKA NA WAKE NA WAPENZI WAO KUSHEREHEKEA UBINGWA

 Beki wa kutumainiwa na nahodha wa Manchester City, Vicent Kompany akiwasili na mkewe Carla Higgs katika tafrija ya klabu hiyo jana usiku baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu Uingereza.
 Pablo Zabaleta ( kushoto ) akiwa na mkewe raia wa Hispania Christel Castano, kulia ni Jack Rodwell akiwa ameongozana na mchumba wake Alana Licate wakielekea katika ukumbi kusherehekea ubingwa wao wa ligi kuu Uingereza
 Wachezaji wa Manchester City, James Milner ( kushoto ) akiwa na mpenzi wake Amy Fletcher na kulia ni mlinda mlango wa timu hiyo Joe Hart akiwa ameongozana na mpenzi wake Kimberly.
 Fernandinho akiwa ameongozana na mke wake Glaucia Roza katika sherehe hiyo.
Kocha mkuu wa Manchester City, Manuel Pellegrin akiwa ameambatana na mkewe Carola

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni