Watu 15 wamekufa katika tukio la
mkanyagano uliotokea wakati wa mechi ya soko katika Jiji la nchi ya
Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, la Kinshasa.
Ripoti inasema kuwa hali hiyo imetokea
baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi katika uwanja uliojaa watu
na kusababisha hali ya taharuki, ambapo zaidi ya watu 20
wamejeruhiwa.
Mashabiki walikuwa wamekerwa na timu
yao ya nyumbani ya ASV, kufungwa na bao 1-0 na TP Mazembe ya
Lubumbashi. Matukio ya kukanyagani ni ya kawaida nchini DRC.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni