.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 15 Mei 2014

WAFANYAKAZI UTURUKI WAANZA MAANDAMANO YA SIKU MOJA KUFUATI AJALI YA MGODI


Vyama vya wafanyakazi nchini Uturuki vimetangaza siku moja ya maandamano wakati nchi hiyo ikiwa imekumbwa na tukio baya la ajali ya mgodi iliyoua watu 274.

Maafisa wa vyama hivyo wamesema kuwa ubinafsishaji wa hivi karibuni wa mgodi huo umefanya mazingira ya kazi kuwa hatari zaidi.

Kufuatia ajali hiyo maambolezo ya kitaifa ya siku tatu yanaanza hii leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni