.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 15 Mei 2014

KAPTENI WA KIVUKO KILICHOZAMA KOREA KUSINI NA KUUA AFUNGULIWA MASHTAKA


Kapteni wa kivuko cha Korea Kusini kilichozama amefunguliwa mashtaka ya kuua bila ya kukusudia.

Kapteni huyo Lee Joon-seok, anatuhumiwa kwa kukiacha kivuko kikizama huku akiwaambia abiria kutulia.

Kapteni Joon-seok alikuwa wa kwanza kuokolewa, katika tukio la ajali hiyo Aprili 16, lililouwa abiria 281, wengi wao wakiwa ni wanafunzi, ambapo hadi sasa watu 23 hawajulikani walipo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni