.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Mei 2014

WAKAMATWA WAKIFANYA MAPENZI NDANI YA CHOO CHA NDEGE IKIWA ANGANI

 Mwanamke mmoja raia wa Uingereza ambaye alikuwa amekunywa pombe, amehojiwa na polisi wa Marekani baada ya kuripotiwa kukamatwa akifanya mapenzi katika choo ndani ya ndege wakati akiwa safarini. 

Wahudumu wa ndege hiyo ya Virgin Atlantic wamesema, mwanamke huyo anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 alikuwa safarini na wazazi wake, kabla ya kutoweka katika kiti chke na mwanamme mmoja waliyekuwa wamekaa naye, na baadaye kukamatwa wakifanya kitendo hicho katika choo cha ndege baada ya wahudumu wa ndege kuwalazimisha wafungue mlango.
Ndege hiyo ilikuwa inatokea London kuelekea Las Vegas Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita, na baada ya kukabidhiwa kwa polisi alihojiwa na kuachiwa baada ya kupewa onyo na maofisa hao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni