.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Mei 2014

RAIS GOODLUCK JONATHAN ASEMA HAJUI WALIPO WATOTO 230 WALIOTEKWA NA KUNDI LA BOKO HARAM

Rais Goodluck Jonathan amekiri kuwa vikosi vya ulinzi vya Nigeria bado havijui walipo wasichana 230 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram.

Wasichana hao wanafunzi walitekwa wiki tatu zilizopita kutoka kwenye shule yao huko Borno, na kundi la wapiganaji wa Kiislam.

Rais Jonathan ametoa kauli hiyo kwa mara ya kwanza tangu kutoweka kwa wanafunzi hao wasichana huku serikali yake ikilaumiwa kwa kutochukulia kwa umakini sula hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni