Wasonjo wakicheza ngoma wakati wa sherehe za usuluhishi
Wamasai wakiwa katika sherehe za usuluhishi wa mgogoro baina yao na Wasonjo, uliosababisha mauaji na uharibifu wa mali.
Wanawake wa jamii ya Wamasai na Wasonjo wakiwa pamoja baada ya wazee wa mila kusuluhisha mgogoro uliokuwa umesababisha uhasama mkubwa miongoni mwa wananchi wa jamii hizo mbili.
Wananchi wa jamii ya Wasonjo na Wamasai wakiwa katika mkutano wa usuluhishi

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Bw Joseph Issac akiwa na laigwanani aliyeongoza kiapo cha usuluhishi wa mgogoro wa wamasai na wasonjo wilayani Ngorongoro.
.jpg)






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni