.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 10 Mei 2014

RAIS SALVA KIIR NA HASIMU WAKE RIEK MACHAR WAKUBALIANA KUSITISHA MAPIGANO SUDAN KUSINI

 Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir akibadilishana hati za makubaliano ya kusitisha mapigano na mpinzani wake Riek Machar. 

Rais wa Sudan Kusini na Kiongozi wa waasi, Riek Machar hatimaye wamekubaliana kusitisha mapigano yaliyodumu kwa miezi mitano nchini humo na kusababisha vifo vya mamia ya wananchi, na wengine wengi wakilazimika kuyakimbia makazi yao.
Katika makubaliano hayo ya kusitisha mapigano, pia wamekubaliana kusimamia vyema mchakato wa katiba na kuelekea katika uchaguzi mkuu. Mkutano huo ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni