.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Mei 2014

WATU KUMI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI NCHINI KENYA

Watu 10 wamefariki dunia katika ajali iliyohushisha magari zaidi ya saba jumapili May 11'2014 nchini Kenya. 

Katika ajali hiyo iliyotokea katika barabara kuu ya Nakuru-Eldoreti saa nane mchana, watu 7 kati ya 10 walifariki dunia papo hapo na wengine 3 walifariki baada ya kufikishwa hospitali. 

Chanzo cha ajali hiyo ni kukatika breki za lori la mizigo ambalo liligonda mabasi matau matatu ya abiria " matatu ", kisha kuyagonga tena malori mengine mawili na baadaye kuyagonga magari madogo mawili.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni