.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Mei 2014

KIBO COMPLEX MKOMBOZI WA WAKAZI WA TEGETA NA MAENEO MENGINE

Jengo la kibiashara la Kibo Commercial Complex lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam limekuwa ni kivutio kikubwa kwa wakazi waishio nje ya jiji kwani lina huduma zote muhimu ikiwa ni pamoja huduma za kibenki, maduka makubwa ya biashara na sehemu za burudani. 
Uwepo wa majengo mengi kama haya pembeni ya jiji, itapunguza kwa kiwango kikubwa foleni za kuingia na kutoka katikati ya jiji kufuata huduma muhimu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni