Basi dogo la abiria linalofanya safari zake kati ya Bagamoyo na Dar es Salaam linavyoonekana baada ya kupata ajali leo asubuhi. Basi hilo liliacha njia na kugonga mti maeneo ya Tegeta njia panda ya Wazo.
Mti uliogongwa na daladala hilo unavyoonekana
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo
Wananchi wa Tegeta wakishuhudia na wengine wakitoa msaa kwa majeruhi wa ajali hiyo, huku askari wa usalama wa barabarani ( vazi jeupe kulia ) akichukua maelezo kwa mmoja wa majeruhi.
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa leo asubuhi, baada ya basi dogo la abiria aina ya Coaster kuacha njia na kugonga mti maeneo ya Tegeta karibu na njia panda ya Wazo jijini Dar es Salaam.
Basi hilo lilikuwa linatoka Bagamoyo kuelekea Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni