.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

YALE YALE YA KUTOKUWA MAKINI BARABARANI

 Wananchi wakiliangalia gari dogo aina ya Noah ambalo limeharibika upande wa kulia, baada ya kukwaruzwa na lori la kubeba mchanga maeneo ya Tegeta jijini Dar es Salaam leo mchana. Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hiyo
Askari wa usalama barabarani akichukua maelezo baada ya kutokea kwa ajali iliyohusisha lori la kubeba mchanga na gari dogo aina ya Noah maeneo ya Tegeta karibu na njia panda ya kuelekea kiwanda cha Wazo leo mchana. Picha hizi zimepigwa na msomaji wetu akiwa ndani ya gari wakati akipita eneo la tukio.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni