.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

CHIBUKU WAZINDUA KINYWAJI KIPYA


Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Dar Brew Bwana Kiroi Suma mwenye miwani akizungumza na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa bia mpya ya asili ya chibuku super jijini Dar Es Salaam, Kushoto ni meneja mauzo na usambazaji wa kiwanda hicho Said Mremi.

Mpishi mkuu wa kiwanda hicho akionyesha sehemu ya uzalishaji wa Chibuku Super.

Wanahabari wakionyeshwa mitambo maalum naya kisasa inayotumika kudhalisha Chibuku Super

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni