.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWASALIMU WATOTO MAPACHA NCHINI DRC

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa jana. Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kumjulia hali balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mh.Antony Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo (Picha na Freddy Maro).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni