.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

MADAI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KUTAKA KUMUUA RAILA ODINGA ZAPOKELEWA KWA HISIA TOFAUTI

Madai ya Mbunge Dkt. Oburu Oginga kuwa wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanapanga njama za kumuua aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga yamepokelewa kwa hisia tofauti.

Dkt. Oburu alitoa madai hayo katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Jaramogi Oginga Odinga, ambapo alidai wakuu hao wa nchi walikutana hivi karibuni Jijini Nairobi kupanga njama hizo za kumua Raila.

Dkt. Oburu alinukuliwa akisema kuwa anataarifa za uhakika kuwa viongozi hao walidai kuwa matatizo yanayoikabili nchi ya Kenya hivi sasa yanasababishwa na Raila Odinga.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni