Kiungo wa timu ya taifa ya Uingereza
Frank Lampard anafikiria hatua ya kujiunga na Ligi Kuu ya Soka ya
Marekani baada ya kuondoka Chelsea.
Hata hivyo mchezaji huyo
aliyeichezea Chelsea kwa miaka 13, amesema atafanya uamuzi wa mwisho
baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni