Moto mkubwa ukiteketeza Soko la Mitumba la Karume usiku wa kuamkia leo.
Hivi ndivyo moto ulivyokuwa ukiendelea kutia hasara kwa kuteketeza mali za wafanyabiashara wa Soko la Mitumba la Karume.
Hata baada ya kucha moto uliendelea kuwepo
Hakuna kilichosalimika na moto huo
Wafanyabiashara wa Soko hilo wakikusanya mabaki ya mabati
Mabango nayo hayakusalimika
Hata baada ya kucha moto uliendelea kuwepo
Hakuna kilichosalimika na moto huo
Mabango nayo hayakusalimika






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni