Maharusi, Dan na Jackie Andreson walijikuta wakiishia kutumbukia katika maji, baada ya eneo lililoingia baharini kidogo walilokuwa wamesimama juu yake pamoja na wapambe wao zaidi ya 20 kwa ajili ya kupiga picha za kumbukumbu kubomoka. Tukio hilo limetokea Minnesota
Jamani mbona kama daraja linavunjika, tukimbieni shughuli isiharibikie hapa wageni wanatusubiri ukumbini
Mwishowe wote walijikuta ndani ya maji baada ya eneo walilokuwa wamesimama kuvunjika
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni