Eneo lililokuwa linatumiwa kama kituo cha daladala cha Mwenge ambacho kimefungwa na daladala zote kuhamishiwa kituo cha Makumbusho likisafishwa baada ya vibanda vyote vya biashara vilivyokuwa katika eneo hilo kubomolewa leo asubuhi.
Baadhi ya wafanyabiashara wakiondoa vifaa vyao kabla tingatinga halijalipita
Ni kubomoa tu!! Zoezi la kubomoa vibanda vya biashara likiendelea katika kituo cah Mwenge ambacho kimefungwa kuendelea kutumika.
Wananchi wakishuhudia zoezi la ubomoaji likiendelea, huku askari polisi wakiwa wameshika doria kuhakikisha zoezi linafanyika kwa amani na usalama.
Kila aliyeweza kuokoa cha kwake alifanya hivyo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni