MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MAZIKO YA MAMA YAKE MH. ZITTO KABWE
Umati wa wananchi wa mkoa kigoma na viongozi kutoka mikoa mbalimbali wakielekea makaburini tayari kwa mazishi ya Shida Salum Mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Wananchi waliohudhuria mazishi ya shida Salum Mama yake Mzazi Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu huyo wakielekea makaburi ya Rubengela mjini Kigoma kwa mazishi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni