Waziri wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya
Nchini Tanzania Waziri wa Fedha wa
Tanzania, Saada Mkuya atawasilisha bajeti ya trilioni 19.6 katika
bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Nchini Kenya Waziri wa Fedha wa Nchi
hiyo Henry Rotich atawasilisha bungeni Jijini Nairobi bajeti ya mwaka
2014/2015 ya shilingi trilioni 1.8 za Kenya ikiwa ni bajeti kubwa
katika historia ya nchi hiyo.
Huko Uganda Waziri wa Fedha Maria
Kiwanuka naye hii leo atawasilisha bajeti ya serikali ya mwaka
2014/2015 ya shilingi trilioni 14 za Uganda katika bunge la nchi hiyo
huku kipaumbele kikiwa ni miundombinu.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni