.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 2 Juni 2014

SEGERA MACHUNGWA BEI POA

Machungwa yakiwa yamepangwa chini eneo la Segera, njia panda ya kuelekea Tanga mjini - Korogwe. Kutokana na wingi wa machungwa, wafanyabiashara wa eneo hilo wanauza machungwa shilingi elfu mbili kwa kifurushi kimoja kilichofungwa zaidi ya machungwa 30.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni