.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 13 Juni 2014

SHEREHE ZA UFUNGUZI WA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL ZAFANA

 Mwanamuziki Jennifer Lopez na Pitbullakitumbuiza kwa kuimba wimbo maalum wa fainali za kombe la Dunia, wakati wa sherehe za ufunguzi wa fainali hizo jana usiku nchini Brazil 
 Lopezi na Pitbull wakishambulia jukwaa mbele ya maelfu ya mashabiki waliofurika katika uwanja wa Arena de Sao Paulo jana
                                         Muonekano wa mashabiki wa soka nchini Brazil
 Warembo wa Brazil wakiserebuka wakati Jennifer Lopez alipokuwa akitumbuiza na wimbo maalum wakati wa sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Arena de Sao Paulo
 Muonekano wa maelfu wa mashabiki waliofurika katika uwanja wa Arena de Sao Paulo wakati wa ufunguzi wa fainali za kombe la Dunia na baadaye kuruatia mechi kati ya Brazil na Croatia
                      Shamra shamra za sherehe za ufunguzi zilikuwa za aina yake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni