Watu saba wamekufa nchini Kenya
katika matukio mawili tofauti ya ajali za barabarani zilitotokea leo
asubuhi huko Makueni na Salgaa kwenye barabara kuu ya Nakuru-Eldoret.
Katika ajali barabara kuu ya
Nakuru-Eldoret lori liligongana na gari dogo na kuua watu wanne, na
Makueni watu watatu wamekufa baada ya gari la binafsi kupasuka tairi
na kumshinda dereva kisha kupinduka.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni