.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS WA UGANDA ASEMA HATAKI FEDHA ZA SERIKALI

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Uganda, Gilbert Bukenya amesema ahitaji fedha yoyote ya serikali na kueleza kuwa anafedha za kutosha za kujikimu yeye na familia yake.

Bukenya amelazimika kutoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari katika ofisi yake ya ubunge, kufuatia kukera na repoti ya kuwa serikali imetumia milioni 500 kwa ajili ya kumgharamia yeye.

Amesema kuwa haitaji fedha za serikali kwa kuwa anafedha ya kumtosha kula na kuendesha biashara zake, na pia ana magari ya kutosha ambapo ameeleza kuwa ana magari tisa yaliyoegeshwa nyumbani kwake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni