.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Julai 2014

ATLETICO MADRID YAJITUMBUKIZA KATIKA MBIO ZA KUMNASA DIVOCK ORIGI

Atletico Madrid imejitumbukiza katika mbio za kumnasa mshambuliaji wa Ubelgiji mwenye asili Kenya, Divock Origi kutoka Lille baada ya Liverpool kushindwa kukamilisha mpango wa kumtwaa nyota huyo aliyeng'ara katika michuano ya Kombe la Dunia.

Mabingwa hao wa La Liga wametenga kitita cha paundi milioni 10 ili kujaribu kuziba pengo la Diego Costa, ambaye ametia saini kuichezea timu ya Chelsea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni