.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Julai 2014

KOCHA WA CHELSEA JOSE MOURINHO AMESEMA HATOSAJILI TENA KATIKA DIRISHA HILI

Baada ya kunasa saini za wachezaji Cesc Fabregas, Diego Costa na Felipe Luis, Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema hana mpango wa kuongeza mchezaji mwingine katika kipindi hiki cha usajili.

Mourinho amesisitiza kuwa baada ya kumaliza kufanya manunuzi ya wachezaji hao ilichobaki ni kuwapatia nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza wachezaji wa timu ya vijana ya Chelsea katika msimu huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni