.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

BOKO HARAM WAMTEKA MKE WA NAIBU WAZIRI MKUU WA CAMEROON


                 Wanajeshi wa Cameroon wakiwa wameeimarisha ulinzi mpakani
 
Jeshi la Cameroon limesema wapiganaji wa Boko Haram wamemteka mke wa Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo kaskazini mwa Cameroon katika mji wa Kolofata.

Katika utekaji huo kiongozi mmoja wa kidini pamoja na meya pia walitekwa katika mji huo na kundi la Boko Haram.

Katika tukio jingine, watu watano wameuwawa kaskazini mwa Nigeria katika mlipuko unaodaiwa kulipuliwa na kundi la Boko Haram.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni