.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

MOTO UNAOSAMBAA KWA KASI WATEKETEZA NYUMBA 10 HUKO CALIFORNIA

Maafisa wa Marekani wamesema moto unaosambaa kwa kasi huko California umeteketeza nyumba 10 na kulazimisha mamia ya watu kuhamishwa.

Katika mkoa wa Sacramento moto umesambaa katika eneo la ekari 4,000, huku moto mwingine unatishia kuteketeza nyumba karibu na mbuga ya taifa ya Yosemite.

Katika tukio lingine mtu aliye na umri wa miaka 20 amekufa na wengine wamejeruhiwa kwa radi iliyotokana na mvua isiyoyakawaida wakati huu wa msimu wa joto huko Los Angeles.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni