.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Julai 2014

FRANK LAMPARD AJIUNGA NA NEW YORK CITY FC YA MAREKANI

Kiungo wa zamani wa Chelsea Frank Lampard amejiunga na klabu ya ligi kuu ya Marekani ya New York City FC kwa mkataba wa miaka miwili.

Lampard, ameruhusiwa na Chelsea mwishoni mwa msimu ulioisha baada ya kukaa kwenye timu hiyo kwa muda wa miaka 13.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni