.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Julai 2014

WAPALESTINA WAWILI WAMEKUFA KATIKA MAANDAMANO YA KUPINGA ISRAELI

Wapalestina wawili wamekufa katika maandamano yaliyotokea katika ukanda wa Magharibi wakati wa maandamano ya kupinga harakati za majeshi ya Israeli huko Gaza.

Waandamanaji 10,000 waliandamana kutoka Ramallah kuelekea Mashariki wa Jerusalem, kabla ya kukutana na vikosi vya Israeli na kukabiliana nao.

Katika mapambano hayo watu 200 walijeruhiwa, wakati vifo vya Gaza navyo vikifikia Wapalestina 800 na Waisraeli 33 tangu Julai 8, mwaka huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni