.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

ISRAELI KUCHUNGUZA TUKIO LA KOMBORA LILILOTUPWA KWENYE SHULE

Israeli imesema itachunguza kitendo cha kutupa kombora kwenye shule inayokaliwa na raia waliokimbia mapigano huko Gaza, na itaomba radhi iwapo ilihusika na kitendo hicho.

Msemaji wa serikali ameviambia vyombo vya habari, kuwa Israeli inasera ya kutowashambulia raia.

Marekani na Umoja wa Mataifa wameshutumu shambulio hilo lililouwa watu 16, wakati mapigano hayo yanayoendelea yakisababisha vifo vya watu 100 siku ya jumatano.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni