Rais wa TPBO Chaurembo Palasa akisisitiza jambo |
Jumanne, 29 Julai 2014
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA IDDI PILI MANYARA PARK MANZESE
Bondia Peter Mbowe akioneshana umwamba wa kutunishiana misuli na Ibrahimu Tamba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao yutakaofanyika katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM siku ya Iddi pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Karim Ramadhani akipima uzito
Bondia Karim Ramadhani kushoto akitunishiana misuli na bondia Stevin Kobelo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya iddi pili katika ukumbi wa Manyara Park manzese CCM wa pili kushoto ni bondia Nassibu Ramadhani na Kocha Jafari Ndame picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Mjumbe wa kamati ya utendaji wa chama cha ngumi za kulipwa nchini Ally Bakari ' Champion' akiwakumbusha mabondia na wasaidizi wao sheria mbalimbali za mchezo wa ngumi kabla ya mpambano wao
Bondia Peter Mbowe akioneshana umwamba wa kutunishiana misuli na Ibrahimu Tamba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao yutakaofanyika katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM siku ya Iddi pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni