Madaktari nchini India wamepigwa na
butwaa baada ya kutoa meno 232 kwenye kinywa cha kijana mmoja wa
kiume mwenye umri wa miaka 17, katika operesheni iliyodumu kwa muda
wa saa saba.
Kwa mujibu wa Dk. Sunanda Dhiware
kijana huyo Ashik Gavai alifika hospitali na uvimbe kwenye taya lake
la kulia, na walipoupasua uvumbe huo ndipo walikuta meno hayo mengi
ambayo yameweka rekodi duniani.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni