Mahakama ya Juu nchini Marekani
imeruhusu kutekelezwa kwa hukumu ya kifo huko Arizona, kwa mfungwa
aliyetaka kupewa maelezo ya dawa itakayotumika kumuua.
Hukumu ya Joseph Wood's
ilipangwa kutekelezwa Julai 23, lakini alipinga serikali ya jimbo
kukataa kutaja dawa itakayomua ni kukiuka haki zake.
Wood alitiwa hatiani mnamo mwaka
1989 kwa kumuua rafiki wake wa kike Debra Dietz na baba wa rafiki
yake huyo Eugene Dietz.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni