Takwimu za Wizara ya Afya ya Kenya
zinaonyesha Jiji la Nairobi linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya
maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Idadi ya watu wanaoishi na virusi
vya Ukimwi katika Jiji hilo ni 177,552, na kuongoza katika kaunti
zote 47 za Kenya.
Takwimu hizo zinaonyesha kuwa watu
800,000 wenye virusi vya Ukimwi wanaishi katika kaunti 10, na kwa
ujumla Kenya inawatu milioni 1.6 wanaoshi na virusi vya Ukimwi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni